Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

Waliopo mkutanoni wote wanafahamu kisukuma kama hupendi kajinyonge. Hata mimi naanza kukimanya.

BTW nenda kawaambie tume ya uchaguzi kwamba rais anavunja kanuni kwa kuhutubia kisukuma kuliko Kiswahili, wakati wasikilizaji wengi ni Wasukuma na wanaifahamu ile lugha vizuri zaidi. Khe khe khe khe kheee. Mmeanza kuokoteza sababu ambazo hazima mashiko. Hivi upimbi huu mtaacha lini?
Sheria inasemaje
 
Ameongea kisukuma kampeni nzima au amechomekea kama Lissu anavyochomekea maneno ya kimalkia?
 
Lakini angeongea Kiingereza hakuna hata moja angelalamika. Watanzania tuthamini lugha zetu sisi wenyewe. Kwani kuna ubaya gani akiongea kisukuma wakati wengi wa wanaomsikiliza wanafahamu lugha hiyo. Mwachemi JPM awe JPM na nyinyi mkiwa marais muwe mna-copy and paste kama wanavyofanya kina Trumpet na vipapeti vyao.

BTW kisukuma kimesaidia kukua kwa kiasi kikubwa kwa lugha ya Kiswahili.
Nyingine ni salam tu
 
kama ujui vitu weluvu wanapo lalamika jua wanampenda uyo wanaemlalamikia tofauti na wale wanao jipendekeza
Weka hiyo sheria kwani kuna sheria ambayo ni siri? Maneno mengi wakati hujui usemalo.
 
NEC kwa CCM hawafuati sheria kama kule njombe mgombea ubunge kakutwa na hatia ya ukwepaji kodi na ameruhusiwa kugombea
 
Tume wajiendee likizo tu. Hakuna lolote la maana wanalofanya. CCM anajifanyia lolote tume wakiwa mabubu.
 
Lakini angeongea Kiingereza hakuna hata moja angelalamika. Watanzania tuthamini lugha zetu sisi wenyewe. Kwani kuna ubaya gani akiongea kisukuma wakati wengi wa wanaomsikiliza wanafahamu lugha hiyo. Mwachemi JPM awe JPM na nyinyi mkiwa marais muwe mna-copy and paste kama wanavyofanya kina Trumpet na vipapeti vyao.

BTW kisukuma kimesaidia kukua kwa kiasi kikubwa kwa lugha ya Kiswahili.

Utetezi wa kipuuzi kabisa, ingekuwa ni mpinzani ungeona tume isiyo huru ya uchaguzi, na msajili wa vyama vya siasa wakitoa vitisho hata usiku wa manane.
 
Sawa........

Ingekuwa ANACHOKIONGEA hakieleweki na HADHIRA hapo Ni tatizo....kumbe ANACHOCHOMBEZA anaeleweka na hata kina Bwashee(Maana ukiishi Usukumani Ni rahisi Sana kuvutiwa KUKIJUA).

Acheni GUBU eeee
Wapi wewe, nani avutiwe na lafudhi ya kisukuma [emoji3]
 
Ameongea kisukuma kampeni nzima au amechomekea kama Lissu anavyochomekea maneno ya kimalkia?

Kisha ndio umeweka post ya kipuuzi kule kujifanya una barua ya wazi, huku unatetea uhuni wa wazi. Shubamiit.
 
Waliopo mkutanoni wote wanafahamu kisukuma kama hupendi kajinyonge. Hata mimi naanza kukimanya.

BTW nenda kawaambie tume ya uchaguzi kwamba rais anavunja kanuni kwa kuhutubia kisukuma kuliko Kiswahili, wakati wasikilizaji wengi ni Wasukuma na wanaifahamu ile lugha vizuri zaidi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mmeanza kuokoteza sababu ambazo hazima mashiko. Hivi upimbi huu mtaacha lini?

Watetezi wa CCM mitandaoni ni zero kichwani!Mmekalia mipasho tu badala ya kanuni za uchaguzi!

Sasa kulikuwa kuna haja gani kuelezwa kwenye kanuni za uchaguzi kuwa lugha itakayotumika ni kiswahili?Mikutano hiyo inakuwa live,huoni kuwa wafuatiliaji wengine wanakosa haki yao ya kusikiliza sera?

Msiwe mapopoma kiasi hiki,mnaishusha hadhi JF!
 
Lakini angeongea Kiingereza hakuna hata moja angelalamika. Watanzania tuthamini lugha zetu sisi wenyewe. Kwani kuna ubaya gani akiongea kisukuma wakati wengi wa wanaomsikiliza wanafahamu lugha hiyo. Mwachemi JPM awe JPM na nyinyi mkiwa marais muwe mna-copy and paste kama wanavyofanya kina Trumpet na vipapeti vyao.

BTW kisukuma kimesaidia kukua kwa kiasi kikubwa kwa lugha ya Kiswahili.
Hujui kiingereza ni moja ya official languages Tanzania???? Hivi nyie vilaza lumumba wanawatoaga wapi????
 
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka tume ya uchaguzi ya taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana.

Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama kutaonekana kuna haja ya kutumia lugha nyingine yaani native ya kikabila basi atafutwe mkalimani hili afasili na kufikisha ujumbe.

Cha kushangaza leo kuazia hile mitaa ya kina Kitwanga hadi Geita hadi kwa akina Msukuma hadi mwanza. Mzee nimemwona anakandamiza Kisukuma kwa sana. Hii lugha ya watani zangu ni nzuri kusikiliza maana hujui wanatumia ule ugali mgumu au nini, maana amekuwa anakandamiza njia nzima. Pia amekuwa anamwita Fisiti Ledi Mama yule mpole sana tena mwalimu naye anaanza kwanza kwa kukandamiza alafu anaomba kura kwa Rais, Wabunge na Madiwani. Kwa kifupi wamekandamiza njia nzima.

Tunaomba mwongozo kwa vyombo vinavyohusika vitoe tafsiri kuhusu hili kwani linaweza kuchochea ukabila hapa Tanzania, na pia nimponge mgombea wa Urais kupitia CCM kwa kuwa ananadi sera zake bila kutumia lugha ngumu au kutupa mitusi kama baadhi ya wagombea wengine, kwani nimewaona wanakomaa na mtu binafsi, kashfa, mitusi na kujisahau kuwa watanzania wamekusanyika kusikiliza sera atawafanyia nini pindi watakapo mchagua, wanakuta kumbe akipata uongozi atakomaa na mtu flani.
Na wee malafyale si ukaongee tu kinyakyusa na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu bwana mkabili kishenzi na amejaza watu wake kila mahali tumkatae asije akatuharibia umoja wetu.
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana.

Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama kutaonekana kuna haja ya kutumia lugha nyingine yaani native ya kikabila basi atafutwe mkalimani hili afasili na kufikisha ujumbe.

Cha kushangaza leo kuazia hile mitaa ya kina Kitwanga hadi Geita hadi kwa akina Msukuma hadi mwanza. Mzee nimemwona anakandamiza Kisukuma kwa sana. Hii lugha ya watani zangu ni nzuri kusikiliza maana hujui wanatumia ule ugali mgumu au nini, maana amekuwa anakandamiza njia nzima. Pia amekuwa anamwita Fisiti Ledi Mama yule mpole sana tena mwalimu naye anaanza kwanza kwa kukandamiza alafu anaomba kura kwa Rais, Wabunge na Madiwani. Kwa kifupi wamekandamiza njia nzima.

Tunaomba mwongozo kwa vyombo vinavyohusika vitoe tafsiri kuhusu hili kwani linaweza kuchochea ukabila hapa Tanzania, na pia nimponge mgombea wa Urais kupitia CCM kwa kuwa ananadi sera zake bila kutumia lugha ngumu au kutupa mitusi kama baadhi ya wagombea wengine, kwani nimewaona wanakomaa na mtu binafsi, kashfa, mitusi na kujisahau kuwa watanzania wamekusanyika kusikiliza sera atawafanyia nini pindi watakapo mchagua, wanakuta kumbe akipata uongozi atakomaa na mtu flani.
Jamaa ana siasa za kishamba sana, siasa za ukabila na ukanda, its not worth for our nation!
Lakini angeongea Kiingereza hakuna hata moja angelalamika. Watanzania tuthamini lugha zetu sisi wenyewe. Kwani kuna ubaya gani akiongea kisukuma wakati wengi wa wanaomsikiliza wanafahamu lugha hiyo. Mwachemi JPM awe JPM na nyinyi mkiwa marais muwe mna-copy and paste kama wanavyofanya kina Trumpet na vipapeti vyao.

BTW kisukuma kimesaidia kukua kwa kiasi kikubwa kwa lugha ya Kiswahili.
Sawa........

Ingekuwa ANACHOKIONGEA hakieleweki na HADHIRA hapo Ni tatizo....kumbe ANACHOCHOMBEZA anaeleweka na hata kina Bwashee(Maana ukiishi Usukumani Ni rahisi Sana kuvutiwa KUKIJUA).

Acheni GUBU eeee
Tulia Dawa ikuingie Halima Mdee Alitumia Lugha ya Wahuni Kale Kawe Anasema Mchumba Sijui watoto Wa kitaaa watamwonyesha Gwaji Boy Mimi hatasikuelewa ile lugha ya kihuni
Sheria ya Uchaguzi imesema waongee Kisukuma?
Who cares? Kama umechukia kajinyonge.
 
Back
Top Bottom