Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake.
Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana akaja na sababu za kilaghai eti anabana matumizi na anataka watu wachape kazi wasikae kufuatilia bunge.
Wakati akikataza bunge kuwa mubashara, ziara na hotuba zake ambazo hata hazina mvuto wala matumaini, kila siku ziko mubashara. Sasa sijui ziara na hotuba hizi zikiwa mubashara zianrushwa bure na zinatazamwa na mawe?
Sasa, kwakuwa alitupuuza tusimpe kura. Tuchague mtu atakayekuwa anatumikia wananchi na kuyatenda yale wanayoyataka.
#Tumpe KURA zote Lisu.