Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam:

Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote.

Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini!

JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
 
Anasubiri kuapishwa!!nchi haiwezi kwenda kwa mgonjwa wa kichaa wala mwenye maumivu ya risasi kwani sio salama kiafya kwa mhusika!!DEEP STATE ITAMPITISHA MEMBE KAMA RAISI WA TANGANYIKA BAADA YA KULE SEIF KUSHINDA NA ZENJI KUPEWA MAMLAKA KAMILI!!
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Membe Huyu Huyu ambaye hafanyi Kampeni?
 
Bado ana andaa baraza la mawaziri, tuwe na subira.
 
Anasubiri kuapishwa!!nchi haiwezi kwenda kwa mgonjwa wa kichaa wala mwenye maumivu ya risasi kwani sio salama kiafya kwa mhusika!!DEEP STATE ITAMPITISHA MEMBE KAMA RAISI WA TANGANYIKA BAADA YA KULE SEIF KUSHINDA NA ZENJI KUPEWA MAMLAKA KAMILI!!
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali: Yupo wapi Bernard Membe?

Je, nini kimekwamisha Membe ?

Je, Membe alikuwa anatania kugombea uraisi ?

Je, ACT Wazalendo walikuwa na matumaini gani kwa Membe?

Je, Membe alikuwa kwenye mpango wa kukitokomeza chama cha ACT Wazalendo Tanzania bara?

Nini kimefanya ndoto za Uraisi kwa Membe kupotea ghafla?

Je, Membe hakujua udogo wa ACT na je ACT iliamini ukubwa wa Membe kuliko ukubwa wa Chama ?

Je, ACT imefail au Membe Amefail kupitia ACT?[emoji848][emoji848]

IMG_20201002_222718.jpg
 
Back
Top Bottom