Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

Zitto anaweza kusaidia kujibu ingawa these days kawa bubu linapokuja suala la Membe.

Hii project ilifail vibaya mnoo kabla hata haijaanza. Hongera zao kwa CHADEMA maana walipiga hesabu kali
 
Swali: Yupo wapi Bernard Membe?

Je, nini kimekwamisha Membe ?

Je, Membe alikuwa anatania kugombea uraisi....
Sasa ukawa ilivyoumizwa baada mamvi kurudi sisiem inamaana ZZK haku sense hii.

Membe ndani ya miaka miwili atakua kasharudi alikotoka. Na hapo ndio itakua mwisho wa kupokea mamkuki mpaka dunia inaisha.
 
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo ndugu Benard Membe hajaonekana hadharani yapata mwezi mmoja sasa (kwa maana ya kutofanya kampeni).

Mara ya mwisho niliona andiko lake Twitter akitoa salamu za pole kwa kiongozi mkuu wa Chama chake Zitto Kabwe aliyekuwa akipatiwa matibabu Mjini Dar es Salaam baada ya kupata ajali huko Kigoma.

Membe ame-give up? Yuko wapi Kwasasa n ipi itakuwa hatima yake kisiasa baada ya uchaguzi mkuu?
 
Anaandaa mambo mengi ya CDM baada ya October. Membe amekuwa muungwana sana anastahili cheo kizuri baadaye.
 
Kachinjwa na kuzikwa baharini ila kuna tetesi kwamba anaweza kufufukia kule kwake kwa zamani...
 
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo ndugu Benard Membe hajaonekana hadharani yapata mwezi mmoja sasa (kwa maana ya kutofanya kampeni).

Mara ya mwisho niliona andiko lake Twitter akitoa salamu za pole kwa kiongozi mkuu wa Chama chake Zitto Kabwe aliyekuwa akipatiwa matibabu Mjini Dar es Salaam baada ya kupata ajali huko Kigoma.

Membe ame-give up? Yuko wapi Kwasasa n ipi itakuwa hatima yake kisiasa baada ya uchaguzi mkuu?
Anamalizia Kwanza 'Mapigano' yake na 'Mganga' wake ya kwanini 'Ajali' ya Wiki iliyopita 'haikuondoka' na Mtu ili 'ajimilikishe' Chama Kipya rasmi?
 
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo ndugu Benard Membe hajaonekana hadharani yapata mwezi mmoja sasa (kwa maana ya kutofanya kampeni).

Mara ya mwisho niliona andiko lake Twitter akitoa salamu za pole kwa kiongozi mkuu wa Chama chake Zitto Kabwe aliyekuwa akipatiwa matibabu Mjini Dar es Salaam baada ya kupata ajali huko Kigoma.

Membe ame-give up? Yuko wapi Kwasasa n ipi itakuwa hatima yake kisiasa baada ya uchaguzi mkuu?
Membe NI sawa na ale watu wanaorubuniwa na motivational speakers
Anaambiwa kilimo Cha matikiti kinalipa hicho kwa maelezo ya mdomo Mtu anaona rahisi tuuuu

Ingia Sasa kwenye kilimo uoutane na changamoto zake ndio Membe

Watu wamemdanganya kugombea urais kqzi nyepesi utashinda , magu hapendwi nk kaingia kaona muziki nmnene
 
Niguse Ninuke
Nikishasaini Kitabu Kwa Kalamu Nyekundu Pale Taifa.
Nitakwenda Hotel Kula Chakula Kitamu Na Mke Wangu
 
Mi naona kama opozisheni wamemshitukia na kumuua kiaina.

Katika kufuatutilia siasa za Tz,binafsi siamini kama Membe haelewani na watawala, ila ilikuwa strateji tu kugawa kura.......anewe....acha tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
 
Membe ni jasusi mbobezi anafanya kampeni kupitia vorgue Range yenye mabango ya picha zake. Watu wakishangaa gari ndio wanamjua na mgombea. Watoto wa chekechea na msingi ndio wanao muunga mkono.
 
Back
Top Bottom