Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas, amesema ndani ya siku thelethini baada ya kupewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atafanya maboresho makubwa kwenye sekta mbalimbali hapa nchini ikiwa ni pamoja na kulibabilisha jina Jeshi la polisi hapa nchini
Hassan Almas ameyasema hayo leo Septemba 7 wakati akihutubia wananchi mjini Tabora akiwa anaendelea na kampeni pamoja na kuanadi sera zake kwa ajili ya kuomba ridhaa kwa watanzania ili aweze kuiongoza Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.