Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Hakuna mgombea asiye na Shaka, ni kawaida kwa binadamu,
Usidhani ni kweli kuwa CCM wanategemea kura za wizi, Kama ukishawahi ona namna kura zinavyohesabiwa na kubandikwa, kuibiwa huwa ni ngumu isipokuwa vijiji vya kushindia ambavyo havina wawakilishi katika chumba Cha kupiga/kuhesabu kwa kukazia kifupi ni kuwa Magufuli alikuwa rais (hata Sasa), hivyo anahofu kuliko hata Lisu, au mwingine. Akina Lisu wanashangaa support kubwa ambayo hawakuitarajia, magufuli anajua wengine, wanaenda tu kumshangaa alivyosikika nchini na anaonekanaje kwa namna alivyoipelekesha nchi nzima, yukoje mtu huyu, lakini nijwambia wananchi ni waumini wa Maendeleo ya vitu kuliko sera ya CHADEMA (Na magufuli anajua Hilo) na hapo ndipo panapowatisha wapinzani.
 
MAGUFULI hawezi kulingana na ma-Rais waliotangulia kwa kuwa ana tabia za kinyama. Wale waliotangulia pamoja na mapungu yao kadhaa lakini walikuwa na UBINADAMU kwenye mioyo yao.
Huwezi ukafukuza watu wa vyeti feki namna ile na kumuacha Makonda lazima una moyo wa SHETANI. Huwezi kabomoa nyumba za Kimara na ukaacha za Mwanza lazima uwe ni mfuasi wa LUCIFER. Huyu Magu ni Mrundi au Mnyarwanda, ndiyo wana mioyo ya namna hiyo.

Kumpa MAGUFULI miaka mwingine 5 ni ni kuleta umaskini Tanzania
 
Kama hawategemei kura za wizi na mbinu chafu Kwa nini hawajiamini? Sisi tunaongea Kwa ushahidi, wewe unaona mfano Yule dada wa mlimba amewekewa pingamizi na Mkurugenzi eti hakuwakilisha risiti, Wakati umeziona Picha za risti ziko mezani na zimethibitishwa na Mkurugenzi na had video umeoneshwa Mkurugenzi akiwa ofisini na umati uliopeleka risti na amekabidhiwa risti mkononi video inaonesha kashika risit Ya bank na anamkabidhi Afisa wake hiyo risti, hiyo ni video bila Cheka Halafu unaweka mizengo upite bila kupingwa Halafu wewe unakuja kusema kuwa wanapita Kwa kura halal, hivi unajielewa kweli wewe?
 
Ah wewe Slaa zaidi ya Moshi, Arusha, Mbeya na Iringa maeneo mengine alikuwa hana ushawishi na hoja ya upadre iliwachanganya watu. Ila huyu Magufuli kwanza kiukweli jamii haimkubali! Kama siyo dola, nasema kama siyo dola sijui!
Ni kweli lakini alimpa tabu kweli kweli. Kutoka 80% mpaka 60%
 
Bosco kazdiwa tuseme ukweli tu.


hata vyama vyote vya upinzani mkiungana bado hamuwezi kuitoa ccm, the fact that hata lowasa hayupo na nyie tena ndo kabisa sidhan kama mna hali nzuri, magu anatekeleza wajibu wake tu wa kampeni lakini he is already above 80%
 

wacha nkupe fact! hata mkiungana vyama vyote nchi nzima bado hamtaiweza ccm, the fact that ccm itatoka na 80%+ haimaanishi asifanye kampeni, so far vyote lissu alivoongea hakuna ata moja that makes sense! labda issue ya uhuru wa vyombo vya habari, ila outside that kila kitu ameongea ni pumba tu
 
Ni wapi nimesema nina kadi ya chama chochote kile??? Hata ukitafuta posts zangu zote ndani ya JF sijasema ni mwanachama wa chama cha kisiasa fulani..
 
Issue ya uhuru wewe umeiona ni Jambo Dogo? Unajua maana Ya uhuru? Mdogo Mdogo utaelewa yooote Kama umeelewa Jambo kubwa Kama hilo na umemkubali basi hayo madogo madogo pia utayaelewa tu ni muda
 
Safi mrembo wangu
 
Tunasema mrudisheni huyo mama wa mlimba haraka sana Kama mnapendwa mtamshinda, muache kuingiza watumishi wa nec kwenye mtego wa kuitwa Mahakama Ya ICC ya mtawaumiza ushahid huo wa video uko nchi nxima mtaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…