Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Lowassa alikuwa na nguvu gani? Hata kuongea alikuwa haongei eti Peoplez Power!! elimu, elimu, elimu. Halafu anakaa

unamchukulia poa yule mzee eeh: wenzako walikubali kuuza chama kwa ajili ya yule, mzee:


we unadhan kuongezewa asilimia 18% ya wapiga kura ni kitu kidogo? haya sasa kaondoka izo 18% sjui mnazitoa wap
 
Ni wapi nimesema nina kadi ya chama chochote kile??? Hata ukitafuta posts zangu zote ndani ya JF sijasema ni mwanachama wa chama cha kisiasa fulani..

sasa wewe vote yako inaenda wap and whats the point sasa, si bora ukalime tu unafanya nn uku
 
Issue ya uhuru wewe umeiona ni Jambo Dogo? Unajua maana Ya uhuru? Mdogo Mdogo utaelewa yooote Kama umeelewa Jambo kubwa Kama hilo na umemkubali basi hayo madogo madogo pia utayaelewa tu ni muda


nmesema freedom ya vyombo vya habari, hakuna sehem ingine hakuna freedom! izo siasa zingine ni pumba tu,
 
Back
Top Bottom