Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Lowassa alikuwa na nguvu gani? Hata kuongea alikuwa haongei eti Peoplez Power!! elimu, elimu, elimu. Halafu anakaahata vyama vyote vya upinzani mkiungana bado hamuwezi kuitoa ccm, the fact that hata lowasa hayupo na nyie tena ndo kabisa sidhan kama mna hali nzuri, magu anatekeleza wajibu wake tu wa kampeni lakini he is already above 80%