Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

hata vyama vyote vya upinzani mkiungana bado hamuwezi kuitoa ccm, the fact that hata lowasa hayupo na nyie tena ndo kabisa sidhan kama mna hali nzuri, magu anatekeleza wajibu wake tu wa kampeni lakini he is already above 80%
Lowassa alikuwa na nguvu gani? Hata kuongea alikuwa haongei eti Peoplez Power!! elimu, elimu, elimu. Halafu anakaa
 
Alitegemea apitishwe bila kupingwa kama madiwani na wabunge kinyume chake mambo yamekuwa tofauti na jinsi alivyotegemea, watu wachini yake kabisa kama madiwani ndio wamepitishwa bila kupingwa waendelee kula kuku kwa mrija wakati boss wao ana tanga na njia kwenye campaign.
 
Kwahiyo watu waendelee kufa?
Mbuzi wewe!
 
Hicho kilio kinaelekezwa kwa invisible,Labda haoni mipango ya kuiba kura ikifanyika au amejaribu kutaka kuiba invisible/ wenye nchi wakamgomea
 
Hicho kilio kinaelekezwa kwa invisible,Labda haoni mipango ya kuiba kura ikifanyika au amejaribu kutaka kuiba invisible/ wenye nchi wakamgomea
Kuna muda niliikua siwaelewi watu wa system make huyu bwana ameharibu Sana nchi
Nilishangaa Sana walivomuacha mpaka nikahisi hawapo.
 
... halafu wanajikaanga na mafuta yao wenyewe, ... Bashiru hofu imemjaa kiasi cha kuanza kutoa vitisho kwa viongozi wenzie ndani ya chama ... mara leo kamvaa Nape, kesho ana Kingwangala, mara anawachimba biti CCM mkoa wa Kagera ... Amma kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
[emoji38][emoji38] tuache waendelee kufarakana
Ila wasituondolee burudani.
 
Ndo maana nawashangaa sana watu wanaomshabikia huyu mtu
 
Huyu bwana yaani inategemea kaamkaje. Mila Siku no tofauti.... Jana alikuwa anawatisha na kuwagombeza wapiga kura, Leo anaomba po kwa Hao Hao wapiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…