Uchaguzi 2020 Mgombea urais, Pombe Magufuli(CCM) anapokosoa kodi za TRA ya Rais Magufuli(CCM)

🔧⚒🔧🔧🔧🛠⚙🗜..Lissu ongeza spana
 
Tunatengeneza tatizo alafu tunalitatua
 
AMECHANGANYIKIWA
 
"Mbona hakushughulikia miaka 5 iliyopita?" aliuliza mzee mmoja alitevaa tshirt ya Chama Tawala.
 
Magufuli Vs. JPM, mental case😀
 
Hii ni baada ya TL kusema hili eti anakuja kujishaua mbona mwaka juzi alikuja ziarani wakamuekeza akapuuza,ujue huyu bwana huwa ana kiburi na madharau.
Huu ndio mda wa SGR, ndege nk vikampigie kura maana wakati watu wanalia alikuwa anawaita wapiga dili maana yeye Yuko kwenye comfort zone anakula jasho la watu
 
Huyu mzee aache kudanganya watu, Lisu alizungumzia kodi zilivyoua biashara ya miti huyu naye kapita humo humo bila kuchambua vizuri. Kwanza TRA hawatungi sheria za kodi, sheria hizi zilitungwa na Bunge linaloongozwa na Ndugai. Lisu alivyosema mfumo wa sheria za kodi wa Tanzania umekaa kinyang'anyi , watu walisema katumwa na mabeberu, sasa na hapa huyo ni beberu yupi kamtuma Magufuli kuwashukia TRA.
 
Apimwe akili
 

Yaani wanamponda huku anachokisema wanakiiga, hayo ya kupunguza kodi hata kwenye ilani yao hakuna ila anajuwa akisema hivo watajuwa anakusudia kutatua tatizo kumbe ni anawapiga fix tu
 
CCM Ilituletea mtu wa Ajabu sana. Hili kosa CCM hawatakaa walirudie Maisha yote.

# Kumsukumizia
 
Huyu si tunaambiwa ni rais,sasa anashindwa nini kutoa maelekezo. Ama hana namba ya kamishna mkuu wa TRA?

Hizi ni fiksi tu kama zingine,sisi wajumbe tunasema tutapataje mapato ya miradi yetu ua SGR,STIGLERS NA MIDEGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…