johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hilo ni swala dogo tu la kiutendaji, Rais Magufuli katoa agizo na leo linashughulikiwa!Hiyo kodi iliwekwa na CHADEMA inayoendesha serikali ya awamu ya tano
CC johnthebaptist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni swala dogo tu la kiutendaji, Rais Magufuli katoa agizo na leo linashughulikiwa!Hiyo kodi iliwekwa na CHADEMA inayoendesha serikali ya awamu ya tano
CC johnthebaptist
Mimi ni mwanaume siwezi kuwa faraghani na wanaume wenzangu. Hayo ni mambo ya Lissu!Aliyeweka hizo tozo,kodi na ushuru ni Lissu!?
Bibie angalia unapokuwa faraghani na wanaume wako, usije kutaja Lissuuu.
Tatizo la Yohana huwa anaona vitu akifika eneo husika. Ndiyo maana kila akifika mahali ndiyo anaahidi .... Wananjombe wasikubali. Alikuwa wapi miaka 5. Akiondoka hapo anasahau mpaka arudi tena. Na safari hii akipata harudi!!Hiyo kodi iliwekwa na CHADEMA inayoendesha serikali ya awamu ya tano
CC johnthebaptist
Manati mazuri!Hii tunaisema maji yamelowa na moto umeungua👍👍🤣🤣✌✌
Basi wewe ni mwanaume si riziki.Mimi ni mwanaume siwezi kuwa faraghani na wanaume wenzangu. Hayo ni mambo ya Lissu!
Hakuna mwanaume kamili na rijali anayetaja taja majina ya wanaume wengine katika hoja isiyowahusu.Mimi ni mwanaume siwezi kuwa faraghani na wanaume wenzangu. Hayo ni mambo ya Lissu!
Komenti hii aione Lissu kisha aache kumtajataja Magufuli.Hakuna mwanaume kamili na rijali anayetaja taja majina ya wanaume wengine katika hoja isiyowahusu.
Huyo ni "mwanaume kama binti".
Hahahaaaaa..... 🤣 🤣 Nimecheka kihutu mkuuManati mazuri!
Hizi ndio tabia za madikteta huwa hawaogopi chochote hukumbuki bukoba na kila sehemu anavyowatisha watzLeo kawadanganya watu wa njombe eti atanunua ndege zingine na moja itakuwa ya mizigo kwa ajili ya kubebea mapatachichi kupeleka ulaya kuuza
Hahahaha!! Jamaa mwongo!!!!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]