GE2025 Mgombea Urais TLP Yustas Rwamugira ahaidi Matibabu ya Afya kuwa bure kwa wote

GE2025 Mgombea Urais TLP Yustas Rwamugira ahaidi Matibabu ya Afya kuwa bure kwa wote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amesema katika mahojiano na Bongo FM kwamba endapo atapewa ridhaa na Watanzania Oktoba 29, 2025 ya kuwa rais, ataweka utaratibu wa kuhakikisha matibabu ya afya yanatolewa bure kwa wote.

Amesema Watanzania ni wapambanaji, hivyo ni muhimu kuwa na afya imara kwa kuweka mifumo bora ya upatikanaji wa fedha kwa ajili ya huduma hizo pamoja na kuhakikisha uwepo wa dawa na wauguzi.

Soma pia

 
Back
Top Bottom