mgombea urais tlp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais TLP: Puuzeni Maneno ya Mitandaoni jitokezeni kupiga kura

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba ya nchi na kwamba kila Mtanzania ana wajibu wa kushiriki...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais TLP: Uchaguzi upo, yeyote anayesema hakuna Uchaguzi Mitandaoni atachukuliwa hatua

    Mgombea Urais wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema chama hicho hakiungi mkono vyama ambavyo vinanadi uchaguzi usifanyike,na badala yake kuwataka wananchi wajitokeze kupiga kura kwa wingi Oktoba 29. Akizungumza kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika viwanja vya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais TLP Yustas Rwamugira ahaidi Matibabu ya Afya kuwa bure kwa wote

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amesema katika mahojiano na Bongo FM kwamba endapo atapewa ridhaa na Watanzania Oktoba 29, 2025 ya kuwa rais, ataweka utaratibu wa kuhakikisha matibabu ya afya yanatolewa bure kwa...
Back
Top Bottom