Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amesema katika mahojiano na Bongo FM kwamba endapo atapewa ridhaa na Watanzania Oktoba 29, 2025 ya kuwa rais, ataweka utaratibu wa kuhakikisha matibabu ya afya yanatolewa bure kwa wote.
Amesema Watanzania ni wapambanaji, hivyo ni muhimu kuwa na afya imara kwa kuweka mifumo bora ya upatikanaji wa fedha kwa ajili ya huduma hizo pamoja na kuhakikisha uwepo wa dawa na wauguzi.
Soma pia