Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi.
Bi Le Pen katika siku za karibuni amepata umaarufu zaidi katika kampeni zake dhidi ya kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ,bw.Emmanuel Macron.
Akifafanua kuhusu shutuma anazotupiwa kuhusu uhusiano wake na Urusi,amesema haoni sababu ya wananchi wa Ufaransa kuingia kwenye shida ya gesi kutokana na vita ya Ukraine wakati nishati hiyo inatumika majumbani na kwenye viwanda vingi vya uzalishaji.