Mgombea Urais Ufaransa, Le Pen wa Ufaransa asema gesi ya Urusi haiepukiki

Mgombea Urais Ufaransa, Le Pen wa Ufaransa asema gesi ya Urusi haiepukiki

Na atashind kwa kishindo labda "Makaroni" aibe kura
Hiyo ndio akili mtu wangu, haiwezekani Wafaransa wapate shida kisa Ukrane.

Huyu Mama namwombea ashinde huu uchaguzi.
 
Kusema kweli hili fumanizi lilo tokea kitaa flan twaweza ilaumu hii vita ya ukrein na urusi
Vitu vingi vimearibika mafuta .ngano na nk
Acha tu hivi vita sijui vitaisha lini[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wafaransa watamuelewa na atashinda.Vita ya kiuchumi kama ya Marekani na China ni vita ya kishamba na kihasidi.Mrusi naye ameona ikiwa ni hivyo basi naiwe kwani nami najua.
Uzuri marudio ya uchaguzi si mbali,Macron anarudi pale Ikulu
 
Hapo Urais kwake baibai. Kwa muda kama huu huko Ulaya Magharibi unajinasibisha na Urusi halafu utegemee kushinda urais?
Nadhani alishaona dalili za kushindwa ni kubwa,akaamua kujitoa muhanga,tangu siku ile atoe kauli ya akishinda ataitoa Ufaransa NATO,tayari nikajua huyu alishajikatia tamaa ya ushindi,kaamua tu bora liende akamilishe ratiba ya uchaguzi.
 
Huku kwetu Bimkubwa anasema, vitu vinapanda bei kwasababu ya vita vya Urusi na Ukraine....
Sio kweli.
JPM aliacha unga 600 na kabla ya vita standing price ilikua 1000 kwa kilo moja.
JPM aliacha mchele 1200 na kabla ya vita standing price ilikua 1800 hadi 2000 kwa kilo, ule wa super toka mbeya.
JPM aliacha ngano 1000 na kabla ya vita ilikua 1500 kwa kilo
JPM aliacha sabuni za jamaa kipande jero, na kabla ya vita kipande kilikua 700.
JPM aliacha mvua zisizo na madhala zinazofaa kwa kilimo, kabla ya vita hakuna mvua kabisa, dry dry.
 
Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi.

Bi Le Pen katika siku za karibuni amepata umaarufu zaidi katika kampeni zake dhidi ya kiongozi wa sasa wa nchi hiyo ,bw.Emmanuel Macron.

Akifafanua kuhusu shutuma anazotupiwa kuhusu uhusiano wake na Urusi,amesema haoni sababu ya wananchi wa Ufaransa kuingia kwenye shida ya gesi kutokana na vita ya Ukraine wakati nishati hiyo inatumika majumbani na kwenye viwanda vingi vya uzalishaji.

Unfortunately huyo kenge jike hawezi kushinda
 
Back
Top Bottom