Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Maombi yako yamekataliwa na Wafaransa, ni batili.
Hiyo ndio akili mtu wangu, haiwezekani Wafaransa wapate shida kisa Ukrane.
Huyu Mama namwombea ashinde huu uchaguzi.