GE2025 Mgombea Urais wa AAFP, Kunje Ngombale Mwiru: Mafisadi watakumbana na Bwawa la Mamba Ikulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Ili kukomesha ufisadi nitawaambia Idara ya usalama wa Taifa ndani ya miezi miwili wajenge bwawa la mamba pale Ikulu ili mtu akigusa kitu cha umma aogope na akiheshimu, akitumia vibaya atakumbana na bwawa la mamba pale Ikulu yangu" - Kunje Ngombale Mwiru Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Ngombale Mwiru akizungumza katika #MorningExpress kuhusu jinsi atakavyopiga vita ufisadi akichaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pia soma > Kunje Ngombale: Nikiwa rais nitafuga mamba kwa ajili ya mafisadi

Futuhi inaendelea...
 
Back
Top Bottom