bwawa la mamba ikulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais AAFP: Nitachimba bwawa la mamba Ikulu, mafisadi watadumbukizwa huko waliwe hadi kuisha

    Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) kimesema endapo kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaanzisha hatua kali dhidi ya vitendo vya ufisadi, ikiwamo kujenga bwawa maalumu lenye mamba Ikulu kwa ajili ya kuwachukulia hatua mafisadi. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumatano Septemba 17...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa AAFP, Kunje Ngombale Mwiru: Mafisadi watakumbana na Bwawa la Mamba Ikulu

    "Ili kukomesha ufisadi nitawaambia Idara ya usalama wa Taifa ndani ya miezi miwili wajenge bwawa la mamba pale Ikulu ili mtu akigusa kitu cha umma aogope na akiheshimu, akitumia vibaya atakumbana na bwawa la mamba pale Ikulu yangu" - Kunje Ngombale Mwiru Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima...
Back
Top Bottom