Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli azindua Kampeni Maswa Mkoani Simiyu akielekea Bariadi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Muda huu mgombea wa urais wa JMT kupitia CCM Dr Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Simiyu na tukio liko mubashara TBC na Channel ten karibu.

Up dates;

Dr Magufuli yuko uwanjani na sasa viongozi wa dini wanasoma dua katika mpangilio wao.

Picha : MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAGANZO,MWIGUMBI NA MASWA AKIELEKEA BARIADI MKOANI SIMIYU
1599220121389.png

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.
1599220134614.png

1599220151330.png

1599220166169.png

Sehemu ya Wananchi wa Maswa wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga.
1599220179529.png

1599220195657.png

Sehemu ya Wananchi wa Maganzo wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga mjini.
1599220205603.png
1599220219772.png
1599220229019.png

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mwigumbi wakati akielekea Maswa mkoani Simiyu.
 
Muda huu mgombea wa urais wa JMT kupitia CCM Dr Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Simiyu na tukio liko mubashara TBC na Channel ten karibu.

Up dates;

Dr Magufuli yuko uwanjani na sasa viongozi wa dini wanasoma dua katika mpangilio wao.
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
 
Mgombea wa ubunge hopeless arudi darasani kujifunza lugha kwanza
 
Awe mkweli akiri kuwa ameshindwa kutengeneza Tanzania ya viwanda badala yake anataka kutengeneza Tanzania yenye hazina kubwa ya ndege hata kama zitachukua miaka 20 kuleta faida.
 
Kwa mtindo huu wa Magufuli kwenda kwenye mikutano kama Rais badala ya kwenda kama mgombea itamuangusha sana. Nimefuatitilia mikutano ya CCM inaboa sana ... yaani utafikiri ni zile zile hotuba za Kiserikali badala ya mikutano ya kampeni!!
 
Mku kuna wasaniii wangapi??

CCM wanatumia nguvu kubwa sana kubeba wananchi kwenye Maroli
Kwa kuwahadaa kwa kofia na Tshirt.

Hakika hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na Mwisho.
Leteni hoja zingine!, hizi zimesha chuja!
 
Kwa mtindo huu wa Magufuli kwenda kwenye mikutano kama Rais badala ya kwenda kama mgombea itamuangusha sana. Nimefuatitilia mikutano ya CCM inaboa sana ... yaani utafikiri ni zile zile hotuba za Kiserikali badala ya mikutano ya kampeni!!
JPM bado ni Rais mtambue hilo , lazima apewe heshima yake kama Rais!..
 
Mbowe si aliwafukuza?
Basi tangazeni ya NCCR, ACT, CUF n.k.

Hivi ni kweli TBC walikuwa na nia ya dhati kutangaza mikutano ya Wapinzani kwa uzito ule ule wanaotoa kwa CCM? kwamba Mgombea wa CCM ana Mkutano Ruvuma na Lisu ana Mkutano Tanga wakaonyesha kwa Lisu?
 
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Nawe sikuweza kufikiria kuwa ni mpuuzi kiasi hicho kukicha kupiga vijembe JPM
 
Kwani nimewahi kumsingizia uongo? Mengi ninayoandika ni yake aliyoongea
 
Si mliwafukuza wenyewe

Back
Top Bottom