Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli azindua Kampeni Maswa Mkoani Simiyu akielekea Bariadi

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli azindua Kampeni Maswa Mkoani Simiyu akielekea Bariadi

Kama ni hivyo msilalamike sana maana hata chadema account yao ya you tube hawajawekeza nguvu kuitumia kurusha mikutano yao.

Mitandaon hata hamuweki clips fupi fupi za Lissu,mfano mzuri jana alihojiwa kahojiwa itv mngetumia yale mahojiano kuyasambaza mitandaon ila mpo busy na mipasho
Wale walikuwa wanarusha matangazo au waliweka kijiwe cha kupiga umbea?
 
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Nani mwingine anafanya siasa?
Tbc ina siku tatu hairushi CCM
 
Muda huu mgombea wa urais wa JMT kupitia CCM Dr Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Simiyu na tukio liko mubashara TBC na Channel ten karibu.

Up dates;

Dr Magufuli yuko uwanjani na sasa viongozi wa dini wanasoma dua katika mpangilio wao.
Hivi zile kamoeni mlizo fanya wenyewe miaka mitano hazikutosha??
 
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
nyie ni watu wapuuzi sijawahi kuona mkiletewa tbc mnawafukuza mnataka wawapende vipi yaani mnafaa kufutwa kabisa
 
Mzee ameshapagawa, nimemsikia anasema wametoa ajira 13,000/ za walimu. Tangu majuzi wakati sio kweli.
 
Sisi tuliwafukuza kwasababu hawakuwa na nia nzuri kwenye mkutano wetu. Yani Ryoba ameifanya TBC kuwa ya kipumbavu kuliko hata ilivyokuwa TvT. Hili jinga sijui liliibuliwa wapi!
Kaka yangu Freeman alifanya technical error siku ya ufunguzi wa kampeni za CDM.
Kosa hilo litawacost mpaka mwisho wa Uchaguzi
 
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Nyinyi simliwafukuza sasa wafanyeje.
 
Kwa mtindo huu wa Magufuli kwenda kwenye mikutano kama Rais badala ya kwenda kama mgombea itamuangusha sana. Nimefuatitilia mikutano ya CCM inaboa sana ... yaani utafikiri ni zile zile hotuba za Kiserikali badala ya mikutano ya kampeni!!
Ni Rais anayesuburi kuwapishwa .
 
Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?

Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Wakati Mbowe anafanya maamuzi ya kukurupu kuwafukuza TBC ninyi mlikua munafurahi sana. Sasa kwa taarifa yako TBC 1 na TBC taifa zote zinakua hewani kwenye mikutano. Hata ule mkutano wa act wazalendo ulikua live kwenye TBC taifa. Kule vijijini ndani ndani tuliusikia.
 
Back
Top Bottom