Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora unipe hamsini nzima kuliko mia mbovu. Tbc walicho kuwa wanakifanya kwenye kampeni za chadema ni unafiki tuWakati Mbowe anafanya maamuzi ya kukurupu kuwafukuza TBC ninyi mlikua munafurahi sana. Sasa kwa taarifa yako TBC 1 na TBC taifa zote zinakua hewani kwenye mikutano. Hata ule mkutano wa act wazalendo ulikua live kwenye TBC taifa. Kule vijijini ndani ndani tuliusikia.
Si waliwatukana na kuwafukuza ili waedit nyomiHivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?
Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Nyie mmekatazwa na nani kuwabeba watu kwenye macoaster?Mku kuna wasaniii wangapi??
CCM wanatumia nguvu kubwa sana kubeba wananchi kwenye Maroli
Kwa kuwahadaa kwa kofia na Tshirt.
Hakika hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na Mwisho.
Haya tuseme ni sawa CDM waliwafukuza tibiisii je kina Rungwe and Co.?Nyie mliwafukuza sasa ulitakaje bwashee?
Wameshaañza kukata tamaaa hao. Mkutano Wa mwigumbi una watu wengi kuliko Wa Lissu tabora na shinyangaLeteni hoja zingine!, hizi zimesha chuja!
Ryoba ni mpuuzi namba moja had tarehe ya leo hi .jinga Sana yaaniiHivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?
Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
Mwenyekiti Faru John aliwafukuza pale Mbagala waliporusha live picha za drone na wanambagala walikuwa kiduchu, Faru John akachukia.Hivi TBC inatumia vigezo gani kurusha mkutano wa chama kimoja cha siasa kila siku?
Yani sikuwahi kufikiri kama Ryoba ni mpuuzi kiasi hicho! Kaachwa mbali sana na Tido
That's obvious. Nguvu ya dola.....!!Ni Rais anayesuburi kuwapishwa .