johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!