johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!

Hao vilaza wameenda shule za sheria wanajiona wanajua kila kitu hata uchumi. Hapo sasa ndipo huja msemo,Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
Lisu kwenye uchumi Ni mweupe kichwani hajui kuwa Kodi ndizo zinalipa hayo madeni ya nje .Kwa hiyo hata ukope matrilioni mikopo hiyo utailipa kwa Kodi zako unaxokusanya ndaniHao vilaza wameenda shule za sheria wanajiona wanajua kila kitu hata uchumi. Hapo sasa ndipo huja msemo,
...KICHAMBA KWINGI....
Nondo za Mbatia nini?Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
nimekuelewa sana mkuu, kwamba ukikopa benki ukajenga nyumba ila marejesho ya mkopo wako yanatokana na biashara ya duka unasema duka ( pesa za duka langu) ndo zimenijengea hii nyumba inakuwa sio mkopo wa benki safiiii sanaNi lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
Weka hali sawa unavyoelewa wewe fedha za ndani na fedha za nje,naona unatofautiana na anachokijua JPM.Lisu kwenye uchumi Ni mweupe kichwani hajui kuwa Kodi ndizo zinalipa hayo madeni ya nje .Kwa hiyo hata ukope matrilioni mikopo hiyo utailipa kwa Kodi zako unaxokusanya ndani
Au wanafikiri hayo madeni hulipwa kea pesa za wapi?
Upinzani tuache utani Ni weupe vichwani kwenye maswala ya uchumi
nakuunga mkono 100% rejea pole pole alivyo fafanua kiurahisi wapi til. 1.5 ilipo enda ili hali wapinzani na mfanano wake hadi leo hawajui iko wapi ila kwa ujuzi wa polepole alikopa akarudisha kutoa kitu imebalansiLisu kwenye uchumi Ni mweupe kichwani hajui kuwa Kodi ndizo zinalipa hayo madeni ya nje .Kwa hiyo hata ukope matrilioni mikopo hiyo utailipa kwa Kodi zako unaxokusanya ndani
Au wanafikiri hayo madeni hulipwa kea pesa za wapi?
Upinzani tuache utani Ni weupe vichwani kwenye maswala ya uchumi
tatizo watawala hawasemi ukweli wote. hakuna mfadhili wa miradi mikubwa Tanzania - tangu enzi za Mwalimu JKN (RIP mzee wetu jamani) miradi yote mikubwa ilijengwa kwa uwezo wa ndani lakini tulikuwa tukikopa. mfano SGR ya TAZARA iliyojengwa kwa mkopo kutoka China ambapo Mwalimu alikuwa muwazi katika hilo wala hakumung'unya maneno ya "pesa zetu wenyewe bullshit" za hawa kina duli.Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
Kampeni zitakapoanza Lissu na wapambe wake watajibiwa kisomi kwa takwimu maana mkopo na matumizi yake kwa maendeleo ya nchi. Ikumbukwe aliwahi kudai nchi ingeshitakiwa kwa kuzuia makinikia, jambo ambalo halikutokea. Na bado anajidai ati ni nguri wa sheria!!!Hao vilaza wameenda shule za sheria wanajiona wanajua kila kitu hata uchumi. Hapo sasa ndipo huja msemo,
...KICHAMBA KWINGI....
Anae jua amekuvusha ? Tulieni dawa iwaingieNi lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?
Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali.
Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la.
Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo, yaani kuna taasisi zinakopesha wenye madeni ili wakalipe madeni yao hapo ndio husemwa mkopo huo siyo fedha ya ndani kwa sababu utalipwa kwa fedha itakayokopwa.
Hivyo hata kama serikali yetu inakopa bado fedha hiyo ni ya ndani kwani imetathminiwa na kujiridhisha italipwa kwa kodi inayokusanywa na serikali.
Ni vema Tundu Lisu akawa anazungumza kama mzalendo.
Niishie hapo!
Wewe na huyo yohana hakuna mnachoelewa kuhusu mikopo. Yohana kaeleza pumba tu. Maajabu ya musa, eti nawe umemuelewa.Great thinkers ndio watakuelewa ila wale kajamba hawataelewa zaidi ya kuja kuharibu uzi
Tundu Lissu uchumi haujui kabisa japokuwa anajiona anajua kuzungumza.Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje?