Mgombea urais wa CHADEMA anaposhindwa kutafsiri maana ya fedha za ndani, atatuvusha kweli?

Lissu anawaumiza kichwa sana kampeni zikianza inabidi huwe na box za Hedex ndani maana kichwa kitakuuma hadi basi.
 
Watanzania washa amua kuwa ni yeye na atatuvusha. Twende na mh Lissu
 
Hata maelezo uchwara kamwambie baba yako.
 
Msitulazimishe kuwa wazalendo kama nyinyi wenye uzalendo wa kughushi
 
Chadema kumejaa wanasheria na wanaharakati.Kwao mahesabu ni sawa na sumu, wasamehe bure
 
Alafu utasikia wanajitapa kuwa miradi yoote tunaitekeleza kwa fedha zetu za ndani
 
Hao vilaza wameenda shule za sheria wanajiona wanajua kila kitu hata uchumi. Hapo sasa ndipo huja msemo,
...KICHAMBA KWINGI....
Kwanini usiwe wewe ndiye kilaza mkuu?
 
Kama Lissu ni mweupe basi wewe utakuwa ni matope matupu
 
We unaandika utopolo tu.
 
Mm nadhani JPM ndoo hupotosha watu kwa kutaka sifa za kijinga,yeye alisema sisi pesa tunazokusanya kama mapato ya ndani ndoo yanatumika kujenga miradi yote kwahiyo hatuna sababu ya kutaka misaaada na mikopo kutoka kwa wazungu.Lakini cha pili anachokosea kuendelea kuwaita hawa mabeberu wakati anataka pesa zao hilo ndoo linampa tabu na hii ni kwa sababu hana break kwenye kuongea wala hana staha,mwanaume haropoki ovyo anatuliza akili akitaka kuongea hilo JPM kama msomi wa PhD anatuambisha kabisaaa.
 
Nikikumbuka jinsi Profesa Musa Asad avyofukuzwa ofisi kisa na mambo mengine kasema deni la taifa limeongezeka.sina hamu na magufuli.
 
Bwa shee jibu hoja, deni la taifa limepanda ama limeshika ndani ya hii miaka 5.
 
Duu! 🤣🤣🤣 Chuo gani umesoma.
 
Bro johnthebaptist, sio siri kwamba tumekopa pesa kwa mabeberu ambapo tutawalipa kwa pesa tutakazozalisha wenyewe. Nadhani sote tunaongea moja ila kwa mitazamo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…