Mgombea urais wa CHADEMA anaposhindwa kutafsiri maana ya fedha za ndani, atatuvusha kweli?

Kwa ufupi ni kuwa tunadaiwa zaidi ya Trilioni 40 ambazo tumekopeshwa na mabeberu.

Hivyo tutembee vifua mbele kwa kuwa tunadaiwa matrilioni, na wanaotudai ni mabeberu.

Serikali ya awamu ya tano inajivunia kuaminiwa na mabeberu, na kwa uhakika kabisa mabeberu na serikali ya awamu ya tano wanapendana kwa dhati.

CCM oyeee!!!
Magufuli oyeee!!!
 
Yaani kuanzia Leo sitakutofautisha tena na Jingalao na Yehodaya. Yaani Loan toka kwa washirika wa maendeleo ni fedha za ndani?
 


Mfano Mdogo Marekani imetoa Saudi Trillion moja $600M kwa Afya sasa wanasema maendeleo yote ya Afya ni pesa zetu basi tuelezwe pesa zote $600M zimeenda wapi?
 
Hiyo siyo fedha ya ndani bwashee maana unarudisha na riba ikishindikana wanashikilia mali. Acha uzuzu bwashee
 
Hiyo siyo fedha ya ndani bwashee maana unarudisha na riba ikishindikana wanashikilia mali. Acha uzuzu bwashee
Hao ndiyo wanao simamia miradi ya serikali, hawajitambui na hawatambui nini maana ya mkopo na fedha za walipa kodi
 
Yaani kuanzia Leo sitakutofautisha tena na Jingalao na Yehodaya. Yaani Loan toka kwa washirika wa maendeleo ni fedha za ndani?
Huyo ndiyo alivyo hajawahi kubadilika wala hawezi kujiongeza
 
Wakiwa na shida kutoka kwao wanawaita washika dau wa maendeleo, wakikosolewa na hao wazungu basi wanaitwa mabeberu
 

Wachache wanaojitambua watakuelewa. Ila tegemea matusi na kejeli tu
 
Ucha kufanya watu wote ni wajinga kama ww,kinachoangaliwa katika uchumi ni source of funds sio njia ya kurejesha inatokana na nini?? .

kwani huo mkopo badaye nchi husika wakaamua kuufuta pasipo TZ kulipa utaitaje?? Kama huelewi vitu uliza watu wanaohusika serikalini watakuelemisha kuliko kukaa kumsifia mwanaume mwenzako aliyezaliwa kama wewe kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…