GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Kijamii (CCK) awasili kuchukua fomu INEC

GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Kijamii (CCK) awasili kuchukua fomu INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025


 
Sera yake kuu ni kugawa kondomu za kike na p2 bure kwa machangudoa wote
 
Maigizo. Kuna siku haya maigizo yataigarimu nchi. Kuna siku wananchi watayageuza maigizo kuwa uhalisia.
 
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025


Haya maigizo yanachekesha kwa kweli
 
Sasa nyie sijui mnataka nini Demokrasia ndio iyo

mumewekewa wagombea wengi Mchague wenyewe jinsia zote zipo

vijana wapo wazee wapo Dini zote zipo safiii.

Kwani kipindi cha Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa ilikuwa vip kwenye Uchaguzi!!!

kura ilikuwa ndio au hapana Mwalimu yupo pekeyake kwenye kalatasi ya kura.

So muwe na moyo wa kuridhika japo kidogo.
 
Back
Top Bottom