mgombea urais cck

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCK: Serikali ya CCK tutasimimamia harusi za vijana wanaotaka kufunga ndoa

    Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK == CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCK: Serikali yangu itagharamia mishahara wahudumu wa Bar

    Sasa kweli eti hii nayo ni sera ya chama kinachotaka kuchukua dola. Hivi wapo serious kweli hawa watu,walijiandaa kweli na huu uchaguzi au walikurupushwa tu? ---- Chama Cha Kijamii (CCK), kimezindua kampeni zake katika Jiji la Dodoma, ambapo Mgombea Urais, kupitia chama hicho Ndg. David...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wangapi mmejua leo kuwa kuna chama kinaitwa CCK? Hii nchi imekaa kiupigaji sana

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo Jumanne, Agosti...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Kijamii (CCK) awasili kuchukua fomu INEC

    Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
Back
Top Bottom