Uchaguzi 2020 Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Lipumba akamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa 10

Uchaguzi 2020 Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Lipumba akamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa 10

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200823-091230.png

PROF. LIPUMBA AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA MIKOA 10.

Mgombea Urais wa Tanzania, kupitia CUF-chama cha wananchi amekamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa kumi.

Zoezi hilo la kujaza fomu za wadhamini limeshakamilika katika mikoa kumi
 
Uyu kapewa kitengo cha kupunguza kura za upinzani
 
Uyu kapewa kitengo cha kupunguza kura za upinzani
Haki yako inaishia pale haki ya mwingine inapoanzia.

Nyie vichwamaji wa ufipa kwani siasa za upinzani ni lazima mgombea wenu awakilishe vyama vyote vya upinzani?

Kwa nini msimuunge mkono mzee Rungwe at least ana hoja za msingi kuliko Loketo wenu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ADuuuh hongera yake ..lkn akumbuke wananchi wanamtazama kwa jicho la usaliti..aliudanganya umma kuwa chadema iliiua cuf kwa mwamvuli wa ukawa..Sasa tuone Kama utapata zaidi ya wabunge kumi waliopatikana kipindi Cha ukawa ...
 
Huyu kule Ilolangulu hata uenyekiti wa kitongoji hawatampa
 
Back
Top Bottom