Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia NCCR Mageuzi, Yeremia Maganja kuifunika Kigoma mjini leo

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia NCCR Mageuzi, Yeremia Maganja kuifunika Kigoma mjini leo

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020.

Rais Maganja atakua sambamba na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha ambaye anatajwa kuwa ndiye kipenzi cha watu wakigoma mjini.

Ikumbukwe siku ya Jana, Mgombea Urais ndugu Yeremia Kulwa Maganja alipita kwenye jimbo la Kigoma Kaskazini kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo ndugu Kitentya Luth.

WhatsApp Image 2020-09-30 at 19.45.24.png
 
Back
Top Bottom