Huyo kwao unaitwa uzalendo,ila wengine hata kuhoji inaitwa kukosa uzalendo.Aibu kubwa sana!
Unamuonea tuu huyu kijana, wewe unaweza kumkatalia mkweo? Weka mbali urais,Mchengerwa alaaniwe kwa kuuvuruga uchaguzi huu, lolote baya limpate .
Sawa amos makala, tumekosa uthibitisho kwamba hakuzàliwa 24/12/2024. Tumekubali alizaliwa tarehe hiyo.Mkuu, unajuaje kama hakuzaliwa kweli hiyo 2024? Mambo mengine mbona mnaleta hayana kichwa wala miguu?
Tuletee kwanza uthibitisho wa mwaka wake wa kuzaliwa.
Mimi niko palee nasimama na huyo komredi.
NB: Hadi kufikia 2025 tutaona mengi kweli.
Angeweza kumkatalia kwa kumshauri na kumuelezea madhara ya kurudia uhuni uliofanyika 2019.Unamuonea tuu huyu kijana, wewe unaweza kumkatalia mkweo? Weka mbali urais,
HUYU ANA USONGO.Wakuu,
Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea.
Huyu ni mgombea wa CCM kwenye fomu yake amejaza amezaliwa Disemba 24, 2024 yani kwa lugha nyepesi amejaza fomu akiwa tumboni kwa Mama ake.
Soma pia: CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa
Halafu Msimamizi wa Uchaguzi kamteua ila mgombea wa Chadema kaenguliwa tena bila sababu.
Source: X
Ngoja wajumbe wasimamizi wanyoa vichwa wanatuandalia majibu.Mkuu, unajuaje kama hakuzaliwa kweli hiyo 2024? Mambo mengine mbona mnaleta hayana kichwa wala miguu?
Tuletee kwanza uthibitisho wa mwaka wake wa kuzaliwa.
Mimi niko palee nasimama na huyo komredi.
NB: Hadi kufikia 2025 tutaona mengi kweli. Ila jamaa amejiaibisha mno.
Huyu ni mhuni mmojawapo aliyeshiriki atamshaurije?Angeweza kumkatalia kwa kumshauri na kumuelezea madhara ya kurudia uhuni uliofanyika 2019.
Wao wana bunduki na mabomu ya polisi sisi tuna Mungu aliyeziumba mbingu na ardhi,lazima karma itawatafuna tu .Huyu ni mhuni mmojawapo aliyeshiriki atamshaurije?