Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea.
Huyu ni mgombea wa CCM kwenye fomu yake amejaza amezaliwa Disemba 24, 2024 yani kwa lugha nyepesi amejaza fomu akiwa tumboni kwa Mama ake.
Soma pia: CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa
Halafu Msimamizi wa Uchaguzi kamteua ila mgombea wa Chadema kaenguliwa tena bila sababu.
Source: X