LGE2024 Mgombea wa CCM aliyeandika amezaliwa mwaka 2024 kwenye fomu, aripotiwa kupitishwa kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea.

Huyu ni mgombea wa CCM kwenye fomu yake amejaza amezaliwa Disemba 24, 2024 yani kwa lugha nyepesi amejaza fomu akiwa tumboni kwa Mama ake.

Soma pia: CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

Halafu Msimamizi wa Uchaguzi kamteua ila mgombea wa Chadema kaenguliwa tena bila sababu.

CCM FOMU.png
Source: X
 
Mchengerwa alaaniwe kwa kuuvuruga uchaguzi huu, lolote baya limpate .
 
Mkuu, unajuaje kama hakuzaliwa kweli hiyo 2024? Mambo mengine mbona mnaleta hayana kichwa wala miguu?

Tuletee kwanza uthibitisho wa mwaka wake wa kuzaliwa.

Mimi niko palee nasimama na huyo komredi.

NB: Hadi kufikia 2025 tutaona mengi kweli. Ila jamaa amejiaibisha mno.
 
NB: Hadi kufikia 2025 tutaona mengi kweli.
Sawa amos makala, tumekosa uthibitisho kwamba hakuzàliwa 24/12/2024. Tumekubali alizaliwa tarehe hiyo.
 
Wakuu,

Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea.

Huyu ni mgombea wa CCM kwenye fomu yake amejaza amezaliwa Disemba 24, 2024 yani kwa lugha nyepesi amejaza fomu akiwa tumboni kwa Mama ake.

Soma pia: CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

Halafu Msimamizi wa Uchaguzi kamteua ila mgombea wa Chadema kaenguliwa tena bila sababu.

Source: X
HUYU ANA USONGO.

Full stop.
 
Mkuu, unajuaje kama hakuzaliwa kweli hiyo 2024? Mambo mengine mbona mnaleta hayana kichwa wala miguu?

Tuletee kwanza uthibitisho wa mwaka wake wa kuzaliwa.

Mimi niko palee nasimama na huyo komredi.

NB: Hadi kufikia 2025 tutaona mengi kweli. Ila jamaa amejiaibisha mno.
Ngoja wajumbe wasimamizi wanyoa vichwa wanatuandalia majibu.
 
Hapo ndo inakuja tofauti ya aliye nacho na asiyekuwa nacho
Ndo maana tajiri hata akiongea pumba anashangiliwa,maskini hata aongee kitu cha maana anaonekana anavuruga

NADHANI WENYE F 3 MMENIELEWA
 
Angalia hata kwenye vikao vya kifamilia mwenye pesa ataulizwa anatumia nini,kama huna hela wanakuletea chochote(huna option ya kuchagua)
 
Back
Top Bottom