Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Ila uwezo wake mdogo sanaHuyo ndio ameshapita
Wewe na nani?#OktobaTunatiki
Hilo linajulikana, sio jambo jipyaIla uwezo wake mdogo sana
Large fake audience, and orchestrasized zero-brain influencers.Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Ndio Rais wetu huyo mpaka 2030. Vinyongo vitaendelea kututesa mpaka siku akija Rais mwingine.Yani ... Ana kichwa kitupu sana aseee hadi huruma ... Ila ndio vile
Mpaka upate shida ya moyo, saratani na uwe na wazee kwenu ndiyo utaelewa, endelea kunywa pepsi na kula chips, utaelewa alichokisema leoHUyu Bibi leo kaongea vitu vyepesi sana ambavyo kila siku anadanganya watu.
Ni rais wa vitendo kuliko hizi siasa za huku majukwaani.Ila uwezo wake mdogo sana
Hii si kweli, Uganda wana deni dogo kuliko Tanzania.Nasikia anatangaza mashindano ya nani mwenye deni kubwa nje ya nchi....anasema Tanzania tunaongoza kuwa na deni dogo kwa East africa......
View attachment 3456550
Kuna mwingine kwenye jukwaa kama hilo alisema rais wa iraq ni GaddafiYani ... Ana kichwa kitupu sana aseee hadi huruma ... Ila ndio vile
Akitoboa amshukuru sana Mungu wakeNdio Rais wetu huyo mpaka 2030. Vinyongo vitaendelea kututesa mpaka siku akija Rais mwingine.
Tuombeane uhai tu, huyo mpaka 2030.Akitoboa amshukuru sana Mungu wake