GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.

Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?

Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.

Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.

Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.

Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.

Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.

Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Punguza kuishi ukiwa na mateso mengi moyoni.

Kumbuka kuwa mega projects zinakula pesa nyingi na mikopo ikiongezeka mnakuja kusema kakopa kuliko marais wote waliotangulia!.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom