gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Itakua hujui economicsHakuna ahadi yoyote inayohusiana na Economical Development.
Itakua hujui economicsHakuna ahadi yoyote inayohusiana na Economical Development.
Sipendi kutumia AI, lakini kwa mtazamo wako huo wa AI overview bado hatuongozi east Africa sababu Burundi wapo chini yetu48 na 52 ipi kubwa?
Na wewe😅😅Wewe na nani?
Hawezi kujenga hoja huyo!Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Nakereka balaa😁👋Mrs Byesige mbona kunipa dislike tena? Umeamini😅😅
Hiyo 72.7 ya world bank huioni siyo!..sasa hivi hutaki tena debt to gdp ratio,rais haongei toka hewani,hivyo vitu huandaliwa na wataalamSipendi kutumia AI, lakini kwa mtazamo wako huo wa AI overview bado hatuongozi east Africa sababu Burundi wapo chini yetu
Burundi
View attachment 3456614
Pili, amezungumza wazi kuwa ni deni na si Deni kulingana na gdp. Angetaka kumaanisha Deni kulingana na gdp basi angesema.
#OktobaTunatiki
Stockholm syndrome inakusumbuaNi rais wa vitendo kuliko hizi siasa za huku majukwaani.
Huyu ni mgombea kwa niaba ya aliyemtuma, yuko nyuma yakeAmepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Hiyo contradiction ndio uone kuea source yako haiko sawasawa. Ndio maana nilishangaa wewe kuweka AI overviewHiyo 72.7 ya world bank huioni siyo!..sasa hivi hutaki tena debt to gdp ratio,rais haongei toka hewani,hivyo vitu huandaliwa na wataalam
Kipimo kizuri cha deni ni kwa ratio ya GDP,sababu vikilingana utapata shida kupata mkopo, maana uwezo wa kulipa huna