GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa muktadha huo ina maana hatoshi
 
Yaan nilivyoona na waandishi uchwara et wanachambua ilan kwa mbwembwe zote nimeishiwa pawa na kuhuzunika zaid how comes 60yrs of freedom bado kama nchi et mgombea anazunguka nchi nzima kuzungumzia suala la marehemu kuruhusiwa mochwari?
Mkuu,mwenyewe nimeona mpaka aibu..nikasema huyu bibi anajielewa kweli?
 
Sawa, Sasa hayo mapya mwambieni mgombea wenu akaongee yeye. Kwani si ndo itakuwa vizuri atampita, au?!!!!
 
Nasikia anatangaza mashindano ya nani mwenye deni kubwa nje ya nchi....anasema Tanzania tunaongoza kuwa na deni dogo kwa East africa......

View attachment 3456550
Deni Dogo ,ili uone uzuri na ubaya wake inatakiwa Uangalie ni asilimia ngapi ya uchumi wake.

Mfano Mzee Mbaruku ana Deni la SHS 2b lakinini ana uzalishaji 1b

Wakati "Paskali" ana Deni la 1.5bn

Lakini uzalishaji wake 500m (0.5b)
Sasa hapa Paskali atakuwa ana shangilia kuwa ana Deni Dogo kuliko Mbaruku, wakati uzalishaji WA Mbaruku ni mara mbili WA uzalishaji wa Paskali , na ni 50% ya Denis lake wakati Kwa Paskali , uzalishaji wake ni 30% ya Denis lake.

Sasa viongozi wakisha aanza kuwa wabongo na kutowaelimisha watoto , tutajenga nchi vipi kama sio kubomoa.
 
Nikataka kuuliza kwani Samia kamaliza kuongea? Nikaamua, probably ameamua kumaliza mapema,kwa sababu watu waliokuwa wanatoka walikuwa wengi.
Hawa watu walikuwa red hot with anger.
 
Nchi imekula hasara for the next 5 yrs, labda Mungu atusaidie hapo katikati!!!.
 
Huyu mtu afya yake haiko sawa,apumzike
Umekuwa daktari lini?Mliweka mgombea anaharisha na kusema neno moja tu mabadiliko leo unadiriki kukosoa?Unyumbu,chuki na husuda zinakusumbua.Ili kumaliza hiyo adha nunua kamba jitundike.
 
This time amesoma notes. Sijui nani kamshauri asiongeze ya kwake. Akiongezaga tu ya kwake huwa ni kasheshe. Watanzania kasheshe tunayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…