DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League
Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi akiwa na wapambe na baada ya kushuka katika bajaji alielekea ofisi za Tume kwa ajili ya kuchukua fomu.
, Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji.Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi akiwa na wapambe na baada ya kushuka katika bajaji alielekea ofisi za Tume kwa ajili ya kuchukua fomu.