nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Ulivyo jinga ni kuwa CCM haitumi mtu kwenda kusajili chama cha siasa, sasa hbr ya ukomavu inamhusu mwanzilishi. CCM ni chama shindani haiwezi kulea chama kingine kukua. Ucha ubwege we tararira la humu JF 24 HrsHivi vyama vya kwenye briefcase vinapendwa sana na ccm. Wakati huu utaviona vinazuga na kuwahadaa watu kama vipo! Baada ya uchaguzi kupita, huvioni tena mpaka uchaguzi kwenye uchaguzi mkuu mwingine.