The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV