SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Cha ajabu ni nini, umemfunua fuvu la kichwa chake ukakuta kama ubongo umo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu ni nini, umemfunua fuvu la kichwa chake ukakuta kama ubongo umo.
Kuna clip ndefu, lasema anamuwakilisha binti yake. Sema wahuni wamekata na kuleta kipande wanachokitakaHiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
YeahHao wana mambo yao , ajakurupuka kusema hivyo🤔
Msikilize hapa:-Kuna clip ndefu, lasema anamuwakilisha binti yake. Sema wahuni wamekata na kuleta kipande wanachokitaka
Labda ni shoga!!! DuuuHiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
Mgombea wa aina hii hawezi kuwa na akili yoyote Ile ya maendeleo. Kuwe na utaratibu wa kucheki ubongo wa hawa wagombeaHiki ni kihoja cha mwaka wakuu