The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
Cha ajabu ni nini, umemfunua fuvu la kichwa chake ukakuta kama ubongo umo.Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
That is a good technique ya kuombea kura,wagombea wote ni wanaume wapiga kura wengi ni wanawakeHiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
Ushirikina ndio maana unaona mastaa wengi wa muzik ,wahubiri,watangazaji au uwe mpira akina Sijui mayele sijui wachezaji wa Arsenal, Manchester nk ,kuigiza nk hupenda kuwa na muonekano wa sura za kike wakati mwanaume ujue mchawi na Mwanga aliyekubuhu huyoHao wana mambo yao , ajakurupuka kusema hivyo🤔
Labda kazaliwa Kwa umbile unalomuona nalo, lakini kiundani au kisayansi zile XY zinawezakuwa asilimia kubwa za kikeHiki ni kihoja cha mwaka wakuu
Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo limetokea wakati ambapo mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake kwa nia ya kuvutia wapiga kura.
Video: EDMO TV
Sio kweli mchawi huyo na mwanga makete mtu hawezi tamka kitu kama hichoLabda kazaliwa Kwa umbile unalomuona nalo, lakini kiundani au kisayansi zile XY zinawezakuwa asilimia kubwa za kike
Mkewe ndio anajua kwa undani kama ni mwanamke au mwanaume na ni baba wa mtuNi baba wa mtu
N mume wa mtu
Kaka wa mtu
N mjomba wa mtu
Serious,, unajiita mwanamke mbele ya hadhara kisa tu unaomba kura. Familia yako inakuchukuliaje ? Siasa ndiyo ikufanye ukane maumbile yako!!!!!That is a good technique ya kuombea kura,wagombea wote ni wanaume wapiga kura wengi ni wanawake
P