Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Historia inaonyesha kuwa hakuna kiongozi yeyote aliyeko ndani ya CCM aliyejitoa mhanga kulitetea Taifa halafu akabaki salama.Mrema alishawahi kusurubiwa kwa sababu ya kuwatetea wananchi,Mwakyembe yalimpata ya kumpata,Magufuli mwenyewe alishakemewa kwenye mkutano wa hadhara alipojaribu kusimamia sheria ya ubomoaji wa majengo yaliyojengwa ndani ya hifadhi,Waryoba naye yuko kwenye kikaango cha moto wa CCM baada ya kuzisimamia hoja za wananchi.Hakuna kiongozi yeyote ambae ana weza akafanya mambo mazuri kwa asilimia zote wakati yuko ndani ya CCM.Kikwazo kikubwa cha mafanikio ya Tanzania ni CCM ambayo inatakiwa iondolewe kwa njia ya kura pamoja na wazuri wake wote na wabaya wake wote.
 
Mkuu Pasco.

Kujficha chini ya kivuli cha News tip ni kwenda kinyume naile unachoketea cha zama za Kiteknoljia kwa slogan ya JF kuwa "Be the First know, lakini kwa sababu ambazo unazfahamu mwenyewe umeipuza nyingine ya Where we Dare talk openly"

unachokifanya hakina tofauti na ambavyo mwandishi wa chombo kama Uhuru, Habari le n.k wanafanya katika zama hizi za Social Media. Kitendo ch kujicha kwenye kivuli cha "Verification" hakina maana hata kata kwa dhana yako ya be the first to know, kwani hinaa maana ya kuwa wa kwanza kupata News tip ilhali haukuwa na ulazima wa kutujulisha kam hujafanya hiyo Verification".

Lakini sishangai huu ndio uandishi wa Tanzania ambako mwadishi wake anasimama hadhrani kuwatangazia kwmba yeye sasa amepanda ngazi kutoka kuchukua kuchukua bahasha za kaki hadi, Mgawaji! kwanini tusifikiri kwamba hiini "Project" maalum ilyoandaliwa kwa malengo maalum. Bado tunakumbuka vyombo vya habari vilvyotumika kumwek madarakani.
 

Binafsi ningefurahi sana haya yatokee japo nina hofu kubwa moja, mfumo ndani ya CCM umejikita katika mizizi ambayo hata kama tungepata Rais toka mbinguni asingeweza, nadhani tufikirie nje ya CCM tu, nani alitegemea Samuel Sitta angetubadilikia hivi???
 
Rais ajae ni Wassira....
watu wa nje ya chama ndo hawajui,
refer to ndio mtu alieongoza kwa kura Kwenye CC,
jamaa ana ushawishi mkubwa sana ktk CCM Ili jina lake lipite,jamaa noma,watu tu hawajui....
 
Mbunge wangu uyu maana 2010 nilimpigia kura na ananiongozo, kiukweli uongozi wa jamaa hata hapa jimboni kwake kwa sasa yupo fair, jamaa amekuwa na utu wa kupitiliza,

Kiukweli watu wake anawajali sana kama anavyojali barabara za maeneo yenu zitengenezwe

Anapenda maendeleo ya kila mfanyakazi wa halmashauri yake, kwa sasa ameshauri kila mfanyakazi kwa kutumia mshahara wake ahakikishe anajenga nyumba ya kisasa na kununua gari kwa kutumia mikopo ya nmb bank maana aliongea na manager wa nmb kila mfanyakazi anayekiz vigezo hasinyimwe fulusa ya kukopa,

Chato ameigeuza kama masaki katika utawala wake n.b kama mbunge wako kashindwa basi husilaum magufuri

Kwasasa umeme unapelekwa kila kijiji n.b hapa n ushawishi wa kila mbunge

Haingilii utendaji wa halmashauri kama wabunge wengine mamlaka yote yapo kwa DED

Mpaka kata za wapinzani kajenga barabara na anapeleka umeme, feza za jimbo anazigawa equally kwa madiwani wote awe ccm au chadema

Ameamua kufufua chama cha ushirika cha kusindika pamba kilichokufa kabla hajawa mbunge

Barabara za chato mjini zote anaweka mabaki ya lami inayobakia kwa wakandarasi may b anawaomba wamsaidie kuileta katika jimbo lake, nyumbani n nyumbani

Ni mbunge ambae kajenga kwao na mara nyingi yupo kwao kwa mapunziko tofauti na wabunge wengine wanaoishi ukimbizini a.k.a dsm

Hata kama yeye aliuza nyumba za serikali kumbuka yeye hakuwa mtu wa mwisho kuamua, alikuwepo waziri mkuu na rais wenye maamzi juu yake. Na alikuwa anatekeleza ilani ya chama. Kwaiyo hapo ilaumiwe ccm nzima na baraza la mawaziri na siyo magufuri pekee,

Hata kama ana mapungufu, ya magufuru n ya kibinadamu maana yeye c malaika, pia ukilinganisha yeye na wengine wa ccm, yeye n afadhari mara 10000.

Kutoka moyoni, pia nadekrea interest magufuri ni mbunge wangu na amefanya wonders katka jimbo lake, na kufikia january asilimia 60 ya watu wa chato watakuwa wanakunywa maji safi na salama, namuunga mkono magufuri for presidential candidate 2015

NB kutokuwa na maendeleo jimboni kwako n uzembe na umbumbu wa mbunge wako

Mungu ibariki Tanganyika Mungu mbariki rais mtarajiwa Mh Magufuri mbunge wetu wa ukweli.

2020 upande wako tena mkubwa JPM
 
Tuvute subira Muda ndio utakao sema! Tumeumba wengi mno kwa Maneno.
 
Pasco muulize huyo mtoa taarifa wako walikuwa wanajadili nini huko songea kwao na aliyekuwa naibu katibu mkuu John ndunguru walipokuwa wameenda kuhan msiba wa marehem mama yake John ndunguru...kikao walichofanya pale kilikuwa na madhumuni gani na sehem ya msiba ikawa ndio sehem ya kuwakutanisha mameneja karibu wote tanroad nchini ....pia muulize nini hasa kilifanya huyo bwana nduguru aondolewe kwenye wadhifa alfajiri siku moja baada ya makatibu na manaibu katibu wakuu wapya kutangazwa alikuwa keshaoga tayari kuelekea kazin mara akapokea taarifa ya kuondolewa katika nafasi hiyo.... akikujibu pia muulize swali la nyongeza mtoa taarifa wako nini huyo magufuli aliambiwa akiwa pamoja na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani bwana nchimbi...waliambiwa nini na wale wazee 12 wa taifa hili...
 
Last edited by a moderator:
Kilichokusikitisha na kukukasirisha ni nafasi yako ya Salva pale magogoni uliyoaidiwa na mzee wa Nyamachoma
 
Kwa Nchi Hii UKIFUATILIA SANA SIASA ZA NDANI YA CCM Ni Kujipa Presha Za Kujitakia Tu. Bora Ukatafute Tu Ugali Wa Watoto Wako Uangalie Na Kesho Utamkaje.
 
Nina wasi wasi wewe c raia wa Tanzania aisee. Huwez kutuharibia lugha namna hii.

Wewe ndio hujui lugha au upeo wako wa kuelewa mdogo sana. yale maneno kayaweka makusudi kwenye mabano kufikisha ujumbe fulani.
 
Pasco kimsingi m nakukubali kwa hoja zako,bt nkipita kwenye maandishi yako leo napata taab kuamin kuwa kusudi lako n kupata view za watu au kujua uungwaji mkono wa makufuri? Iwapo unajua kuwa No research na light 2 say,

Y umekuja na tetesi unataka kuondoa jina la makufuli mawazon mwa wanachama wa ccm ili ijulikane kuwa siri ilivuja hvyo hastahili.

Ki msingi cna uhakika na kile ulichokisema,
Ila napata taabu kuamin kile ulichokisema.
 

wazanzibar watakubali maana ni zamu ya mzanzibar kwa upande wa ccm
 
Hata wakimchagua Wassira sio mbaya.
Kumchagua nguruwe awe rais ndani ya kundi la wanyama pori hakumfanyi nguruwe awe tofauti na wanayma pori wenzake.
Mule mule tu.
 

We ni time Monduli ndo maana unalalamika, Magufuli akigombea nitamsapoti sisiem hakuna mwingine anayeweza kuongea akaogopwa japo kidogo na kudisplini watu zaidi ya magufuli ila wafanyabishara hawatakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…