Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Magufuli anazindikiza tu. Chaguo la Mkulu ndio atayepitishwa, ukiangalia historia ya Asha utanielewa.
 
Pasco Wew ulizaliwa Mwafrica kimakosa! Siamin kama hzi tetesi ulisiskia kwa watu! na watu kama nyie sijui kwanin mpo wachache kiasi hiki!
 
Last edited by a moderator:
Pasco nimekukubali hoja zako mara zote huwa zina ukweli mtupu.Tunasubiri ripoti halisi maani hii ni ili ujiridhishe na uchosikia August 2014.Nyie ni watu muhimu nchini
 
Pasco , ina maana Rweyemamu akuandalie meza? Tetetete, kutesa kwa zamu, Bongo yetu.

Ukuje basi umalizie maana hii nimeletewa kwenye group la Whatsapp...... Hongera kwa utabili.

Ila nina wasiwasi kama utaziweka mapema hivi au utaziweka kabisa, labda ikifika mwaka 2021....
 
Last edited by a moderator:
Pasco Tunasubiri ubandike sababu tuone jinsi watu wanavyo decide jinsi ya kututawala maana hatuna free and fair elections their decisions is our destiny
 
Japo umeumizwa kwa kuanguka Lowasan huku ukiendelea kusononeka basi tushushie hizo sababu
 


We Paskali Wacha fitina ushindani kati ya Magufuli na Slaa utakuwa mzuri sana kwa sababu yoyote atakayetinga Ikulu kati yao atasafisha ufisadi wa wezi waliokubuhu kuiba fedha za walipa kodi. Hapo CCM wamejifunga goli wao wenyewe bring them on. Wa-kwanza kwenda lupango not in alphabetical order Che-nkapa, EL, Mzee vijicenti, JK na kundi lake.
 
Last edited by a moderator:
Hii niliandika 18/8/2014.

Naona CCM wamefanyia kazi maoni yangu na wengine waliokuwa wanawaza kama mimi nilivyokuwa na waza.
 
Mkuu Pasco,

Hii habari hukuwahi kuja kuithibitisha, na hata hivyo imekuja kutokea kama ulivyoileta. Pia mkuu Mchambuzi, niliona alikuja na bandiko kama hili mwaka 2012!, nalo limetimia kama alivyotabiri..!!!

Sasa unaweza kutupa hizo sababu bila shaka kwasababu mtu aliyechaguliwa ni yuleyule kama ulivyotabiri. Bila shaka sababu hizo zilizingatiwa mpaka kupatikana kwa jina la Magufuli hii leo.

Hebu fanya kutujuza mkuu.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Update 12/07/2015
Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni, ukilisikia jambo, kama huliamini, then usiliseme wala kuliandika, hivyo hizo sababu nilisopewa siku hiyo, why Magufuli, siziamini, naomba nisiziseme hivyo chukulie kupitishwa kwa Magufuli kumetokea tuu natural, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwa tuu kama just a coincidence, nilisema ni Magufuli na akawa coincidentally.

Kwa mtakaonielewa asanteni, kwa msio nielewa samahanini sana!.

Hongera Magufuli!.

Pasco
 

Pascoooooooooooooo...haya tumekuelewa!!
 

I second you mkuu.
Unfortunately waTZ wengi wanakuwaga carried away na ulivyoviita vituko vyake. Yaani waTanganyika ni waDanganyika kabisa!

Labda apate msaada wa kisaikolojia katika kipindi hiki cha mpito!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…