Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Duh hii ilikuwa 15 August 2014 mkuu Pasco inafaa tujipongeze walau kiduchu kuna vitu vingine tunaandika ukija kivisoma tena unabaki unashangaa.


 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngongo, hata pale nilipokuwa sikuelewi vizuri sasa nimekuelewa.
Wengi wanaanza kuandika juu ya huyu bwana baada ya kuona kapitishwa lakini mboni za macho yako ziliyaona haya out of nowhere!

 
ethics....mkuu nimekuelewa sana and big up...japo natamani utoe tip kidogo sababu ulizosikia kipindi kile kuwa ni Magufuli ni zipi...japo two reasons...ila dont mention source....PLZ mkuu...analysis....
 
Ni kweli mkuu Pasco kama hutojali tumwagie hizo sababu humu "anonymously" of the source. Then keep confidentiality of the source nadhani bado tutakuwa tupo kwenye ethics.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli kama siyo huu mtandao unatekwa na makoloni kwa ukweli ni mtandao wenye kila sifa ya kuitwa mtandao wa Kijamii


Pasco upo Mkubwa????
 
Last edited by a moderator:

Kweli hii ndiyo aina ya wapiga kuwa wetu wengi walivyo.
Pamoja na Mapenzi yako yote kwa Lowassa muda wote huo haukufanikisha kumtonya hiyo tetesi. basi hata wapambe aliokuwa nao yawezekana ni feki-yaani chukua chako Mapema.

 
..Magufuli ni mropokaji.

..hana kabisa breki ya mdomo.

..pia inaonekana hajatulia kimawazo, na Uraisi hauhitaji mtu wa namna hiyo.

Hapa tulipofika, hatuhitaji mtu mbabe kama Magufuli ili mambo yaende? Hatutaweza kujenga hili la Taifa kwa kuimba taarabu na bongo fleva, bila kufanya aina nyingine ya kazi ambazo tunasuasua kuzifanya.
 
Kweli jf kwenye ubora wake.....big up Pasco
 
Last edited by a moderator:
Hapa tulipofika, hatuhitaji mtu mbabe kama Magufuli ili mambo yaende? Hatutaweza kujenga hili la Taifa kwa kuimba taarabu na bongo fleva, bila kufanya aina nyingine ya kazi ambazo tunasuasua kuzifanya.

..tunahitaji raisi anayeweza kujenga taasisi mbalimbali na mfumo utakaowezesha nchi kusonga mbele.

..it is very dangerous kwa nchi kama tanzania kutegemea mtu mmoja badala ya mifumo ya kitaasisi.

..tatizo la magufuli ni kwamba yeye ni one-man-show. Hata pale anapotekeleza sheria anafanya kwa namna ya kukomoa au kikatili-katili.

..huyu ni mtu ambaye anatakiwa kuwa checked mara kwa mara. Naamini ni mtu hatari kupewa madaraka bila ya kuwa na mtu wa juu yake atakayemdhibiti.

..bongo fleva is not a bad thing. Too much of it ndiyo a bad thing. Mafanikio tuliyoyapata ktk bongo fleva tunatakiwa tuya replicate ktk science,engineering, technology, mathematics, and sports.

Cc Kishimbe wa Kishimbe, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu
 
Duh nimekuogopa mkuu. Source zako zinatisha! Ndo maana jamaa alijiamini wala hakutaka kelele na mtu. Basi kuna bwana mkubwa kamuweka kwa maslahi yake binafsi, na amefanikiwa kuchezea akili za watu wote!!
 

Inawezekana kabisa. Tunahitaji taasisi na nafikiri hata yeye kuanzia sasa atatakiwa awe anafikiria kwa level hiyo...ila Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yamepangwa,na wajanja walivyotaka yaende, heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…