Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Walijua akienda yeye na mang'eng'e wenzake wanaweza waka snitchNdo maana wafanyabiashara wamegoma kikao cha ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijua akienda yeye na mang'eng'e wenzake wanaweza waka snitchNdo maana wafanyabiashara wamegoma kikao cha ndani
Sijawahi kuajiriwa toka nizaliwe biashara ndiyo kazi yangu ya asili nimezaliwa na mfanyabiashara na mimi nafanya biashara kwa kiwango changu,usijifanye unanijua sana.Hujawahi fanya biashara
Maana serikali Ina vitu vitatu.Hata hivyo waelewe tu hawana ubavu wa kuipangia serikali ifanye wanavyotaka.
.Tunataka Watanzania wanaojielewa kama hawa wafanyabiashara wa Kariakoo
Ndiye huyu, hadi hapa ishaonekana ni pandikiziAmesababisha jana watu wakaitwa Msimbazi na Polisi walisema yeye ndo kawataja kuwa wanasababisha wenzao wasifungue maduka
Hiyo ndiyo shidaNdiye huyu, hadi hapa ishaonekana ni pandikiziView attachment 2625064
Sibishani na mpuuzi asiye na hoja mtu ambaye ameweka nadharia nyingi kichwani kwake ambazo hazimsaidii kazi yake ni kulazimisha kile anachokiamini yeye ndio sahihi.Hufanyi, ungekuwa wafanya lazima ungejua mabaya yanayotokea
Huo ni ushamba wa kishamba mfanyabiashara kuogopa vitu hivyo hata unapoonewaMaana serikali Ina vitu vitatu.
Polisi
Mahakama
Magereza.
Ukivikumbuka hivi vitu vitatu, mwenyewe unarudi kwenye mstari.