Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

Kalinzi

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
86
Reaction score
14
kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo.

Matangazo yamebandikwa kusambazwa chuo kizima ikianzia na chuo cha elimu matangazo yanayotoa agizo la kugoma kuingia madarasani kutoingia kuanzia kesho. si mara ya kwanza kwa chuo hiki watu kugoma kutokana na hali mbaya ya huduma zinazotolewa na wafanya kazi wa bodi ya mikopo HESLB katika chuo hicho.

kwa hali kama hiyo tutegemea makubwa sana kuanzia kesho endapo hali hii inaendelea kuanzia leo.
 
Hamna cha kutegemea cha maana.sana sana mtapewa likizo mkapumzike nyumbani.
 
Tanzania bila mambo kama haya haiendi.Ila jiandaeni kuna watu watatolewa kafara
 
kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo. matangazo yamebandikwa kusambazwa chuo kizima ikianzia na chuo cha elimu matangazo yanayotoa agizo la kugoma kuingia madarasani kutoingia kuanzia kesho. si mara ya kwanza kwa chuo hiki watu kugoma kutokana na hali mbaya ya huduma zinazotolewa na wafanya kazi wa bodi ya mikopo HESLB katika chuo hicho.
kwa hali kama hiyo tutegemea makubwa sana kuanzia kesho endapo hali hii inaendelea kuanzia leo.

Sasa nani kala hizo pesa haswa? Ombeni CAG aje akague
 
duh mambo ya kutembezana kwa miguu ngongona hadi town hayo
 
Mkuu matangazo yamewekwa pande gani manake mimi nipo hapa dodoma karibu chuo kizima cha education halijaonekana tangazo hilo. Au umetumwa kuja kupima upepo? Au mmeyaweka kwenye room zenu?

Vijana nendeni kwa mkuu wa chuo ni msikivu mzuri tu au kama hakuna msaada njooni town p/minister yupo atawasikiliza kuliko kujiingiza katika migomo ambayo mwisho wake baadhi yenu mtafukuzwa bure.

Angalia chuo umeenda mwenyewe na kwenu utarudi mwenyewe.
 
Hawa jamaa wametuonea vyakutosha sasa hiviv hali ya maisha hapa UDOM ni mbaya sana, watawala hawaonekani kuguswa na hili tatizo maana wao ndio sehemu kubwa ya matatizo haya.

Kila siku tunabandikiwa matangazo ya kutusihi tuwe wavumilivu lakini hakuna positive impact yoyote. sasa tumechoka lolote liwalo na liwe kwasababu naamini anaepigana dhidi ya udhalimu hawezi kuwa muhalifu.
 
kila siku migomo tu bila mafanilkio yoyote,kwani hakuna njia nyingine mmbadala ya kuifikishia ujumbe serikali?

Mbona hii migomo sioni matunda yake kabisa,mnagoma kuingia darasani sijui nani atakayeathirika kitaaluma,wenzenu wa vyuo vingine hasa private wako busy wanaconcetrate na masomo nyie mko oppiste kabisa,mnapoteza mda mwingi kuandaa migomo halafu kesho mnajinadi eti UDOM ni chuo bora, labda kama ni ubora na mijisifa ya migomo tena isiyo na matunda,mimi nawashauri kuandaa njia ambayo haitakuwa na madhara kwenye taaluma.

Kwa mfano mnaweza kuwatuma baadhi ya wakilishi wenu kwenye ofisi husika au hata kwa ikulu kwa mheshimiwa rais ili kupeleka malalamiko yenu.
 
hayo mabango yamebandikwa wapi mimi nipo college of social science §humanities hakuna bango hata moja km umetumwa rudisha pesa ya watu kwa7bu kazi yako imefeli
 
Ukisema Udom unaongelea collage kama 6 sasa huko Education kama kuna icho kivumbi basi kwingine ni shwariiiii.....
 
mmhhh vumilieni tu watoto wa wakulima , atakaye shindwa abebe begi lake arudi kwao kwa watoto wa kike nitumieni pm niwagegede niwape pesa za kujikimu chezea mtoto wa fisadi si ni bata tu
 
Acha uongo mkuu, hicho ni chuo chenye mlengo wa kijani...chadema wanaweza ku-organize mgomo?....Hata hivo, nakubali...(I was making a big satire to Gambas)...Hata wabunge wa ccm watafanya migomo tu baadaye... LUGOLA, FILIKUNJOMBE NA LUHAGA wamelianzisha.

Si jambo rahisi mwanachama mtiifu akaidi kuhudhuria kikao adimu kinachohutubiwa na RAIS wa nchi ambae ndie mwenyekiti wa chama.
 
kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo. matangazo yamebandikwa kusambazwa chuo kizima ikianzia na chuo cha elimu matangazo yanayotoa agizo la kugoma kuingia madarasani kutoingia kuanzia kesho. si mara ya kwanza kwa chuo hiki watu kugoma kutokana na hali mbaya ya huduma zinazotolewa na wafanya kazi wa bodi ya mikopo HESLB katika chuo hicho.
kwa hali kama hiyo tutegemea makubwa sana kuanzia kesho endapo hali hii inaendelea kuanzia leo.

mgomo tu hapa,hamna atakae fukuzwa wala nn!woga 2!!eti atumwe m2 akaongee nawaziri au raisi!we sio bure unataka virus kwa virus nasio anti_virus!!!
 
Acheni hizo mkuu sasa mukigoma boom likija dada zenu tutawapataje
 
Gomeni tu jamani mpungue wabaki wale wanaopenda shule na kufuata utaratibu. Swala boom ni la mwanafunzi, mzazi na bodi ya mikopo Uongozi wa Chuo unaingiaje humo?

Ulipoomba mkopo aliye kudhamini ni mzazi wako na mjumbe/katibu kata/afisa tarafa mwisho unataka chuo kihusike kukutafutia boom!!!!! Tumedekezwa sana watanzania wenzenu hapo SAUT tu swala la ada ni swala la mwanafunzi, swala la maisha ya chuo ni la mwanafunzi, maana uliomba chuo ukijua taratibu za chuo.

Sasa wewe ukute siyo mwanafunzi au umeshaona mlango wa ku disco badala ya kuwashauri wenzio kufuatilia boom kupitia uongozi wa wanafunzi waambie wagomee chuo uone watafaidikaje. Pale UDSM wao bahati nzuri wana Chuo kimewadekeza zaidi kwa kuwapatia kitengo maalumu kinachoitwa Student Finance Unit kinachohakikisha wanafunzi wanapata boom on time kina washauri wasign kupokea fedha za boom na ada na kufanya retirement on time.

Pia DARUSO wana Wizara maalumu ya mikopo yenye manaibu wawili ambo ni wachapa kazi.
 
Gomeni tu jamani mpungue wabaki wale wanaopenda shule na kufuata utaratibu. Swala boom ni la mwanafunzi, mzazi na bodi ya mikopo Uongozi wa Chuo unaingiaje humo??? Ulipoomba mkopo aliye kudhamini ni mzazi wako na mjumbe/katibu kata/afisa tarafa mwisho unataka chuo kihusike kukutafutia boom!!!!! Tumedekezwa sana watanzania wenzenu hapo SAUT tu swala la ada ni swala la mwanafunzi, swala la maisha ya chuo ni la mwanafunzi, maana uliomba chuo ukijua taratibu za chuo.
Hili la kuvisumbua vyuo wakati mikopo inatolewa na taasisi nyingine limekuwa likinisumbua sana. tatizo ni kuwa hawa vijana ukijaribu kuwaeleza hilo wala hawaioni mantiki yake.
 
Back
Top Bottom