kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo.
Matangazo yamebandikwa kusambazwa chuo kizima ikianzia na chuo cha elimu matangazo yanayotoa agizo la kugoma kuingia madarasani kutoingia kuanzia kesho. si mara ya kwanza kwa chuo hiki watu kugoma kutokana na hali mbaya ya huduma zinazotolewa na wafanya kazi wa bodi ya mikopo HESLB katika chuo hicho.
kwa hali kama hiyo tutegemea makubwa sana kuanzia kesho endapo hali hii inaendelea kuanzia leo.