Aisee, kumbe? mimi nipo mabibo mida hii. Hebu ngoja nije huko niliunge. Maana leo sina pindi mpaka saa 1 usiku.
kazeni but broo,hii ndivyo inavyotaka,wanaJF 2ko pamoko sana endelea kutupa UPDATES...........,
njoo kaka.
Kumependeza ile mbaya... Watu wamesema kama chuo kimeridhia polisi kuja chuoni kulinda usalama wasishangae kusikia polisi ameuwawa.
kiungo cha uzazi cha mzazio wa kike.
Kama hapakufai unapiga kimya...
Elimu haijawakomboa nyie.
Hivi wewe umesoma wapi wewe!!Elimu haijawakomboa nyie.
Wamekwambia hawana nauli?Wanafunzi wameishiwa aisee,sasa mkirudishwa home nauli mtatoa wapi?
hawana pesa za kujikimu ndo nauli wanazo?Wamekwambia hawana nauli?
wao wanasema hawana fedha za kujikimu!
we huna akili ni outdates zako za kizee. Ndio maana uliDISKO!