Mgomo mkubwa UDSM.

Mgomo mkubwa UDSM.

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Ni kuhusu haki ya wanafunzi waliofukuzwa na hatma ya fedha ya kujikimu.
Chezo limeanza mida ya saa 4 hivi, FFU wametanda eneo la chuo tayari kuwapiga mabomu wanafunzi.
Source: niko eneo la tukio
 
Mwanaharakati, kwa jina Al-Shaabab anatoa route kwa wana-UDSM. It's really gonna happen today...
 
Wanafunzi wa CoET(zamani FoE) wamepanda huku juu kujiunga na wenzao.
Kwa sasa halaiki ya wasomi ipo utawala. Emocíon ni nyingi sana hii leo...
 
Aisee, kumbe? mimi nipo mabibo mida hii. Hebu ngoja nije huko niliunge. Maana leo sina pindi mpaka saa 1 usiku.
 
Amsha amsha ni kubwa.
Maraia wamedai kama wenzao hawarudi ni bora tukaenda wote nyumbani...
 
Aisee, kumbe? mimi nipo mabibo mida hii. Hebu ngoja nije huko niliunge. Maana leo sina pindi mpaka saa 1 usiku.

njoo kaka.
Kumependeza ile mbaya... Watu wamesema kama chuo kimeridhia polisi kuja chuoni kulinda usalama wasishangae kusikia polisi ameuwawa.
 
kazeni but broo,hii ndivyo inavyotaka,wanaJF 2ko pamoko sana endelea kutupa UPDATES...........,

msijali.
Wanaharakati wa CoET wanatoa modality sasa.
Kamati ndogo imetumwa kuenda kuwaita wenye uhai watatu i.e. Mabhoko, Mgaya na Mukandala...
Naona hawajafika mpaka wa sasa!
 
Wanafunzi wameishiwa aisee,sasa mkirudishwa home nauli mtatoa wapi?
 
njoo kaka.
Kumependeza ile mbaya... Watu wamesema kama chuo kimeridhia polisi kuja chuoni kulinda usalama wasishangae kusikia polisi ameuwawa.

nisisubiri kuhadithiwa..... Nipo njiani sasa, tayari nina chupa ya maji hapa nilipo. Sitaki mchezo.
 
huku coet hakuna pindi linaloendela. my take. wasipopewa pesa leo hapatafaa kesho hapa mlimani.
 
Sasa nyie madogo mkikimbizwa tena hovyo hovyo kama last time tusiwaone humu na ma-issue yenu ya mgomo.
juzi mmesema mnafanya mazoezi na kkupeana mbinu za kupambana na alshabaab aka ffu kama wakija kuwaletea ngebe.

Sasa tunangoja, mkileta fujo bila sababu za msingi mtakuwa mmejipunguzia heshima mbele ya jamii,
Ila ffu wakija kuwapiga kwasababu mmeamua kukusanyika ndani ya chuo ku-discuss maslahi na kero, basi watungueni hao.
 
we huna akili ni outdates zako za kizee. Ndio maana uliDISKO!

kumbe nilidisco. Hili gamba nimelipatia wapi?. Au nimenunua cheti?. We soma uje huku uraiani!.
 
Back
Top Bottom